Cambridge Year 12 (Form Five) vacancies available now

Applications are invited for those who want to join our Cambridge school in year 12 (Form Five). You should have scored a minimum of D’s in the Subject Combination you would wish to to offer.
A few places are also available for the other levels. Get in touch and secure yourself a place while you can.

A Few Places available for Form Five Necta

Vacancies for New Students

ARUSHA MODERN SCHOOL

  NAFASI ZA MASOMO 2018/9

  1. KIDATO CHA TANO 2018/9

Michepuo: PCM, PGM, PCB, CBG, EGM, HGE, HGL, HKL, HGK, na ECA

  1. PRE-FORM FIVE

Kozi hii ipo kwa wale wanaojiandaa kujiunga na kidato cha tano.

Itaanza tarehe 19 March 2018.

  1. FORM ONE 2018

Bado nafasi zipo kwa wanaojiunga na kidato cha kwanza 2018.

  1. FORM FIVE 2017/8

Bado tuna nafasi kwa kidato cha tano kinachoelekea cha sita kwa wanaohamia.

Michepuo: PCM, PGM, PCB, CBG, EGM, HGE na ECA

  1. KIDATO CHA PILI NA CHA TATU

Nafasi za kuhamia kidato cha pili na cha tatu bado zipo. Kwa wa kidato cha pili hata kama umefanya usajili tutakusaidia kuhama kituo kwani inaruhusiwa endapo itafanyika mapema.

  1. CAMBRIDGE

Tunafundisha mtaala wa Cambridge kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita.

Shule ni ya bweni na kutwa kwa wavulana na wasichana. Ina maabara na maktaba ya kisasa, mazingira bora ya kujifunzia, walimu wa kutosha na waliobobea katika fani ya ufundishaji. Shule inajali taaluma, nidhamu na michezo. Tunajali imani ya dini ya kila mmoja.

KWA FORM NA MAELEKEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA ZIFUATAZO

0782 905 905

0767 111 913

0624 057 787

Email: arushamodernschool@habari.co.tz

Website: www.arushamodernschools.sc.tz